Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafikiri ugonjwa mkubwa ambao dunia inaugua kwa sasa, ni watu kuwa na hisia za chuki miongoni mwao.” - Diana Spencer
 
Akili aliyotubariki Mwenyezi Mungu ni kubwa na timamu amini kuwa hakuna jaribu linaloweza kutuzidi wajibika na matatizo yako na uache kuwatupia wengine lawama
 
Huwezi kuiona thamani ya mwaka mpya na kamwe huwezi kuona mabadiliko kwasababu fikra zako bado zinagundi ya uovu wa miaka mingi iliyopit
 
Jifunze Kutofautisha Kati Ya Msimamo , Kiburi Na Dharau , Hii Ndio Njia Pekee Itakayokusaidia Kuacha Kuwachukia Watu Bila Sababu Za Msingi
 
Maisha ya nuru ni muhimu sana kwa Mtu binafsi na jamii kwa ujumla. Hii ina maana ya kuishi maisha yaliyojaa Maadili, Mwongozo safi, na Malengo thabiti yanaleta amani, furaha na maendeleo endelevu.
 
Maisha ya nuru huambatana na dhamira safi na matendo mema. Hii huleta amani ndani, huondoa wasiwasi, na kumfanya Mtu ajihisi mwepesi moyoni.
 
Maisha ni mseto wa furaha,huzuni,wakati mgumu na wakati mzuri,kikikosekana kimoja Kati ya hivi hayo sio maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…