Ni kweli wazazi na ndugu wana matarajio muhimu juu ya elimu yako ila hakikisha unakua na mipango sahihi huku ukimkabithi MUNGU dira ya maisha yako.Jitambue na usivutwe kwenye shimo baya na marafiki mliokutana kisa ELIMU.

Jenga dira ya maisha yako hivi sasa, Pale unakokutaka kuwa,Na hivi sasa jione tayali umefanikiwa ,Najua unaweza hakuna lisilowezekana chini ya Jua, Achana na watu wenye fikra finyu. Kufanya ulaumu elimu yako,Kukufanya ujilaumu kwa hali yako

Jihadharini na mwili wako wa kimwili. Akili unalisha nini. Usijiharibu mwenyewe!Makini na akili yako. Iendeleze kwa maelezo ya ubora. Usiipoteze kwenye junks!Muhimu zaidi, makini na roho yako. Ni dira ya mwisho kwa maisha yako!

Jitume hakuna mafanikio bila juhudi jitahidi kwa kila unalofanya usikate tamaa changamoto ni sehemu ya maisha zikumbatie na uendelee kusonga mbele malengo ni dira bila malengo ni rahisi kupoteza mwelekeo.

Moja ya nyakati ngumu kwenye maisha ni kuamka hauna dira ya maisha wala uhakika wa kula unaweza kujinyonga ila usikate tamaa toka kapambane Mungu anajua fungu lako lilipo.

PESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"