Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiishi na watu vibaya kumbuka ujana, uzuri,fedha na cheo huja na kuondoka ila watu hawatosahau ulichowafanyia
 
Kwenye kujitafuta usione aibu, kwasababu hakuna atakaekupa hela ya chakula kama usipojituma wewe mwenyewe
 
Magonjwa mengine makubwa yasiyoambukiza ambayo yanawaathiri watu wengi bila ya kujijua ni:
1.Kujilinganisha na maisha ya watu wengine
 
Back
Top Bottom