Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kupunguza magomvi na watu
AiseeSTAREHE zimeteketeza WAFALME.Si vibaya kuenjoy maisha, ila ni muhimu kuweka MIPAKA.
📌📌Kuwa sababu ya mtu mwengine kufurahi, haujui kwa kiasi gani watu wamebeba maumivu ambayo hayaelezeki lakini bado wanaamua kuwa wema kwa watu wengine basi na wewe kuwa sababu ya tabasamu lao na cheka nao
📌📌Hautazuia meli isizame ila haujazuiwa kuogelea ili uokoe maisha yako, kamwe hauwezi kuzuia matatizo kuja kwako ila unatakiwa ujitetee na upambane yasikuangamize. Hata kama unapitia changamoto kiasi gani usikate tamaa kwasababu wewe ndio shujaa wa maisha yako mwenyewe jipambanie
Asante sanaUkizama kwenye dimbwi la kupenda starehe kupindukia, utaanza kupoteza DIRA ya maisha yako.
SawaMatumaini ni dira inayoongoza hatua zetu kuelekea maisha bora ya baadaye