Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

PESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"
📌📌📌
 
JIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenywe

Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
Najufunza
 
Ujumbe huu muhimu
Watu walikuwa kiakili na wanaojua umuhimu wa kutunza ustawi wa afya ya akili hawatakushangaa kupunguza marafiki wabaya na kuishi kwa kutokutegemea watu wengine

ILA UKIONA WATU WANAKUFUATILIA NA WANAKUONGELEA VIBAYA BASI UJUE HAO HAWANA KAZI YA KUFANYA
 
Watu wanaojua umuhimu wa kutunza afya hawatokushangaa ukifanya mazoezi, kula vizuri kwa afya, kulala mapema na kuepuka vilevi na madawa ya kulevya, kwasababu wanajua gharama ya matibabu ni kubwa kuliko gharama ya kujilinda na magonjwa
Sawa Nakubaliana
 
Back
Top Bottom