myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema mnaoelekea maofisini
Hakuna mtu ambae hawezi kuishi bila ya wewe ni basi tu upendo wake kwako ni wa kweli. Hivyo basi ukimuona mtu anakupenda kweli na anakujali mshukuru mungu na kisha mzingatie,mlinde na usimchukulie poa,kwasababu watu wa aina hiyo huwa hawarudi kwenye maisha ya mtu mmoja mara mbili
Watu wanaojua umuhimu wa kutunza afya hawatokushangaa ukifanya mazoezi, kula vizuri kwa afya, kulala mapema na kuepuka vilevi na madawa ya kulevya, kwasababu wanajua gharama ya matibabu ni kubwa kuliko gharama ya kujilinda na magonjwa
4.Kulala mapema na kupumzisha mwili
Kuna matendo hayana gharama ila ni ishara ya kujipenda, kama vile
1.Kujinenea mazuri na kuwa na mtazamo chanya kwenye maisha yako
Watu walikuwa kiakili na wanaojua umuhimu wa kutunza ustawi wa afya ya akili hawatakushangaa kupunguza marafiki wabaya na kuishi kwa kutokutegemea watu wengine
ILA UKIONA WATU WANAKUFUATILIA NA WANAKUONGELEA VIBAYA BASI UJUE HAO HAWANA KAZI YA KUFANYA
Sawasawa3. Usipokuwa makini kwenye kujua unachokitafuta basi utaishia kukimbiza vitu ambavyo havikuhusu
4.Hakuna asiyependa kufanikiwa ila wengi tunaishia kwenye kuota ndoto, baadhi wanakwama Kwenye mchakato, na watu wachache sana ndio wanajitoa na kupambana kwa jasho kupata mafanikio
👍👍👍Watu wengi hawajui wanahitaji nini wakiwa na ndoto za kutimiza kitu fulani, maisha hayapo hivyo
1.Kama haujui unataka nini kamwe hautopata unachokitafuta
2. Ili ujue unachokitaka lazima utambua unamapenzi na kitu gani,unakiweza kwa kiasi gani na kwa namna gani sio ngumu kukifanya
✅️✅️✅️Watu wengi hawajui wanahitaji nini wakiwa na ndoto za kutimiza kitu fulani, maisha hayapo hivyo
1.Kama haujui unataka nini kamwe hautopata unachokitafuta
2. Ili ujue unachokitaka lazima utambua unamapenzi na kitu gani,unakiweza kwa kiasi gani na kwa namna gani sio ngumu kukifanya
Ukiishi bila ya malengo ni sawa na msafiri asiejua anaelekea wapi. Malengo 7
1.LENGO LA KUTUNZA AFYA YAKO. Ziishi tabia zenye kulinda afya yako na achana na tabia za kuhatarisha afya, Chunga unachokula na kunywa kisiwe sumu kwako, lala vizuri na fanya mazoezi kuimarisha afya yako
NAKUBALIANA NA HILIHauwezi kupata furaha kama unaishi huku unaangalia wenzako wana nini ambacho hauna, utaishia kuhuzunika tu kwasababu utagundua una vitu vingi hauna, utagundua kasoro ulizonazo na utajiona mdhaifu lakini utasahau kama unavitu vingi ambavyo hata wao hawana
ISHI MAISHA YAKO
Hauwezi kupata furaha kama unaishi huku unaangalia wenzako wana nini ambacho hauna, utaishia kuhuzunika tu kwasababu utagundua una vitu vingi hauna, utagundua kasoro ulizonazo na utajiona mdhaifu lakini utasahau kama unavitu vingi ambavyo hata wao hawana
ISHI MAISHA YAKO
LENGO LA KIIMANI: Kurudi kwa muumba wako, kutubu na kujikurubisha kwake, kusafisha na kuwa huru. Kupunguza kufanya madhambi na kuongeza matendo mema, shukrani, ukarimu na upole. Kufanya ibada na kuongeza maombi.