Msaada sio haki yako, ukinyimwa usianze kutoa lawama na makasiriko. Na ukimsaidia mtu sahau, usifanye kama deni lazima na yeye aje akusaidia utakuja kuwa diaappointed

PESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.