Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiruhusu magumu na changamoto ulizopitia katika siku ya leo kukumaliza na kukupoteza kwenye dira ya maisha.
 
Msaada sio haki yako, ukinyimwa usianze kutoa lawama na makasiriko. Na ukimsaidia mtu sahau, usifanye kama deni lazima na yeye aje akusaidia utakuja kuwa diaappointed
 
Wakati unajenga future yako usisahau kuishi. Kumbuka tunaishi mara moja tu, ukiishi huku unafurahia maisha basi hiyo mara moja inatosha
 
JIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenywe

Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
 
JIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenyewe

Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
 
PESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"
 
JIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE

Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenywe

Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
 
JIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE

Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenywe

Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
 
UKWELI WA MAISHA
1.Ukiwa hauna pakutegemea ndipo unajituma sana kwasababu unajua ukianguka hakuna wa kukuokota
 
Usiishi na watu vibaya kumbuka ujana, uzuri,fedha na cheo huja na kuondoka ila watu hawatosahau ulichowafanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…