Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pale chef Asili uhindini 😀 😀 😀
NDIO...Uwiii huu uzi una comment milioni moja na usheee
✅️✅️The little drummer boy
Sawa4.Ukiwa na tabia ya kuridhika na ukajikubali, basi maisha yako yatakuwa mepesi,utashukuru kwa kidogo ulichonacho, hautatamani vya watu na hautajilinganisha na kujishidanisha na watu, Stress zitakukalia mbali
SawasawaME, MYSELF AND I" FORMULA
1. Jipe furaha mwenyewe usingoje upewe na watu wengine
✅️✅️5.Usisahau kujitoa out, kula unachokipenda na kuvaa unachokifurahia
Kweli3. Usipende kuweka vitu moyoni vitakuripukia na utapa ugonjwa wa moyo bure, kama hauyawezi yabwage songa mbele
NakubalianaKama hauwezi kujipenda, kujijali na kujithamini mwenyewe basi usitegemee kupata vitu hivyo kutoka kwa watu wengine kwasababu hisia, mawazo na tabia vina tabia ya kuvutana