Kwenye haya maisha kuna namna inabidi ujitambue wewe ni nani, unahitaji nini na ukiwa wapi, hivyo basi
1. Jitambue sifa zako za kipekee ambazo mtu akitaja hizo sifa basi kakutaja wewe (strengths) na tambua madhaifu yako ili yasije kukugharimu
2.Usione aibu kwenye kutafuta hela hakuna aibu kubwa kama kukosa hela,kuomba aibu ya 2 na kunyimwa aibu ya 3. Cha msingi unatafuta kihalali usione aibu
Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
Ipo siko maombi yako yatajibiwa, hustle zako zitafanikiwa, jasho lako litakaukia kivulini,Chozi lako litafutwa,kiu yako itakatika, utapata mtu atakaekupenda kwa dhati na hautakumbuka maaumivu ya nyuma, upe muda nafasi yake na kuwa mvumilivu kila kitu kitakuwa sawa tu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.