Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tupo kwenye Smartphone and gas cooking generation inetengeneza matatizo ya akili na magonjwa ya mwili mengi hasa
1.Kutaka kufanikiwa kwa haraka,kama vile unavyotaka kuivisha chakula kwa haraka kwa jiko la gas ndicho kinachokaa kwenye ubongo wako na kutaka ufanikiwe kwa haraka
📌📌📌
 
6.Furaha huvuta mafanikio, huzuni na hasira huvuta matatizo,Chagua kufurahi hata kama upo katika nyakati ngumu ili usiumizwe na matatizo na pia usiumizwe na huzuni yako mwenyewe
 
Hauwezi kujua umuhimu wa kitu ulichonacho mpaka kikuponyoke 1.Ukiwa na afya njema itunze kwasababu afya ikitetereka huyumbisha kila kitu kama vile uchumi, kazi,familia
 
2.Ukimpata mpenzi anaekupenda na kukujali mtunze kwasababu sio wote wapo kwenye mahusiano yenye furaha kama wewe
 
.Ukipata rafiki mwenye upendo wa dhati na ambae yupo na wewe kwenye shida na raha mshikilie, watu wazuri huwa hawajagi mara nyingi kwenye maisha ya mtu mmoja
 
4.Ukipata kazi ambayo inakupa furaha usiiache, kuna watu hawana kazi na wengine wanafanya kazi mazingira magumu
 
Ukiwa na biashara yenye mafanikio usianze kudharau wateja kumbuka kuna wenzako wanatumia nguvu na gharama kubwa kupata hao wateja
 
Back
Top Bottom