Usione aibu kuishi maisha ya kawaida, kama kipato chako cha kawaida usitake kushindana na wenye uwezo na wala usione aibu kuonekana unamaisha ya kawaida, Jikubali na furahia kuishi kulingana na uwezo wako na waache watu wajifunze kuishi kulingana na wewe ulivyo

Usione aibu kuonesha upendo kwa mtu ambae ni halali yako, usisubiri afe ndio ujute kwanini hukuwahi kumuambia unampenda, mwambie unampenda na hakuna km yeye moyoni mwako
Usione aibu kuonesha upendo kwa mtu ambae ni halali yako, usisubiri afe ndio ujute kwanini hukuwahi kumuambia unampenda, mwambie unampenda na hakuna kama yeye moyoni mwako
Usione aibu kuonesha upendo kwa mtu ambae ni halali yako, usisubiri afe ndio ujute kwanini hukuwahi kumuambia unampenda, mwambie unampenda na hakuna kama yeye moyoni mwako
Hata ukifanya kama wanavyotaka wao hawatakushukuru, zaidi zaidi watakuona mjinga. Sasa wee endelea kutaka kuwafurahisha waliopanga kukukasirikia kwa makusudi utaishia kuumizwa tu na bado watakulaumu baada ya kukuumiza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.