Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upe muda nafasi ya kukutibu, ya kukujibu na kukujenga. Watu wengi hupata STRESS kwasababu ya kujilinganisha maisha yao na watu wengine na kujiona kama wanacherewa katika maisha.Upe muda nafasi yake kila mtu yupo kwenye nafasi sahihi na hakuna kuwahi wala kucherewa kwenye maisha
📌📌📌
 
Tumia muda wako vizuri kuponesha nafsi yako, Tunajua umepitia maumivu mengi makali kiasi ambacho hayaelezeki, lakini kuendelea kufikiria yaliyotokea nyuma ni kuendelea kuiathiri afya yako ya akili na mwili, Samehe na uachilie, shukuru na usonge mbele. usisahau kujifurahia
Sawasawa kabisa ✔️
 
Ipo siko maombi yako yatajibiwa, hustle zako zitafanikiwa, jasho lako litakaukia kivulini,Chozi lako litafutwa,kiu yako itakatika, utapata mtu atakaekupenda kwa dhati na hautakumbuka maaumivu ya nyuma, upe muda nafasi yake na kuwa mvumilivu kila kitu kitakuwa sawa tu
Aisee
 
Tumia muda wako vizuri kuponesha nafsi yako, Tunajua umepitia maumivu mengi makali kiasi ambacho hayaelezeki, lakini kuendelea kufikiria yaliyotokea nyuma ni kuendelea kuiathiri afya yako ya akili na mwili, Samehe na uachilie, shukuru na usonge mbele. usisahau kujifurahia
Sawa
 
CHUNGA MUDA WAKO KABLA YA KUJUTA BAADA YA KUUPOTEZA

1.Fanya kila kitu sasa hivi ukiwa bado unanguvu Weka hakiba, wekeza, fanya biashara, soma sana vitabu, jifunze vitu vipya ingali akili na mwili bado vina nguvu ya kutosha ya kupokea na kufanyia kazi
Aisee
 
MUHIMU: Ufaidi wakati ulionao sasa, kwasababu yaliyopita ni historia na yajayo ni majaliwa ila ya sasa ni baraka zitumie ipasavyo, ishi leo kama haufiki kesho na jitunze, jijali, jithamini, jiamini, jipende,fanya ibada na utunze fedha zako kama utaishi milele
Nakubaliana ni muhimu
 
Back
Top Bottom