Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa unafikiria mambo mazuri utatengeneza hisia ya furaha na faraja, utakuwa huru kufanya maamuzi sahihi, hautakuwa na hasira za ajabu, utapata usingizi mzuri, utaimarisha afya ya mwili, utaimarisha mahusiano yako, utajiamini na kujithamini na utakuwa unafanya matendo mazuri
 
Akili ni kama sumaku huvuta kile unachikiwaza kwa muda mrefu, ukiwa unawaza matatizo na mambo mabaya basi unakaribisha matatizo na mabalaa mengine katika maisha yako, na utashangaa kwanini matatizo hayaishi kumbe unayaita mwenyewe
 
Ukiwa unaiweka akili yako kufikiria mambo mazuri huvuta pia nambo mazuri katika maisha yako ambayo yatakupa mafanikio, furaha, faraja, amani na upendo
 
NB: Watu waliofanikiwa sio kwamba hawana matatizo lahasha bali huchagua vitu vya kuviweka akilini kipindi wanapitia matatizo
 
Kama tunawaambia watu walio kufa wapumzike kwa amani, kwanini tusiwaambie waishi kwa amani kipindi ambacho wapo hai ambapo wanaouwezo wa kutusikia na kutuona. Usisubiri mtu mpaka afariki ndio ujifanye ulikuwa unampenda sana, onyesha upendo ingali mwenyewe yupo hai.
 
Usikatishwe tamaa, wewe ni mjasiri, unaweza na unatakiwa kujiamini, Magumu unayopitia kwa sasa yanakuandaa na kukuimarisha na mazuri ya baadae. Tambua ya kwamba kadri unavyokutana na mitihani katika maisha yako ndivyo unavyoimarika na kuwa mtu imara na utafanikiwa tu usijali.
 
Hauhitaji kuwa na kila kitu ndio uanze kuishi, unachohitaji ni kuamua kuishi bila ya woga na kufurahia maisha yako. Fanya unachokiweza, kwa hali uliyonayo na hapo hapo ulipo bila ya kushindana na watu wengine na bila ya kuangalia wengine wamefika wapi Utafurahia maisha yako.
 
Kwenye haya maisha jitahidi sana kuwa "HUMBLE", usiishi kwa kuringa,visasi na usiishi kwa chuki kwasababu sisi sote hatujui dakika inayofuata kutatokea kitu gani.
 
Ukipata hela kuwa "HUMBLE" usiwadharau na kuwakashifu waliokosa, kwasababu aliyekupa wewe ndio aliyewanyima wao
 
.Ukikosa usilalamike sana, Shukuru rudi nyumbani na kesho nayo ni siku, mungu anaona jitihada zako ipo siku utapata zamu yako itafika tu
 
Back
Top Bottom