myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUsione aibu kuonesha upendo kwa mtu ambae ni halali yako, usisubiri afe ndio ujute kwanini hukuwahi kumuambia unampenda, mwambie unampenda na hakuna km yeye moyoni mwako
SawaUsione aibu kuonesha upendo kwa mtu ambae ni halali yako, usisubiri afe ndio ujute kwanini hukuwahi kumuambia unampenda, mwambie unampenda na hakuna km yeye moyoni mwako
✅️✅️✅️3.Hata kama itachukua muda mrefu kukipata hautachoka kukipambania kwa jasho na damu kwasababu unajua "kwanini unakihitaji"
✔️✔️✔️Usione aibu kuonesha upendo kwa mtu ambae ni halali yako, usisubiri afe ndio ujute kwanini hukuwahi kumuambia unampenda, mwambie unampenda na hakuna kama yeye moyoni mwako
📌📌Hata ukikutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa na kukuchosha hautachoka kupambana
✅️✅️✅️Ukiwa bado upo hai basi usikate tamaa, kwasababu jambo ambalo haliwezekani ni lile ambalo haujalifanya na ukiwa bado unapumua basi bado riziki yako ipo. Hivyo basi punguza presha na uongeze juhudi, weka mipango sawa na kisha kuwa na subira muda wako utafika na utafurahi
✔️✔️✔️Hata ukifanya kama wanavyotaka wao hawatakushukuru, zaidi zaidi watakuona mjinga. Sasa wee endelea kutaka kuwafurahisha waliopanga kukukasirikia kwa makusudi utaishia kuumizwa tu na bado watakulaumu baada ya kukuumiza
Ujumbe bora kabisa...Ukiwa bado upo hai basi usikate tamaa, kwasababu jambo ambalo haliwezekani ni lile ambalo haujalifanya na ukiwa bado unapumua basi bado riziki yako ipo. Hivyo basi punguza presha na uongeze juhudi, weka mipango sawa na kisha kuwa na subira muda wako utafika na utafurahi
Sawasawa ✔️ ✔️Hata ukifanya kama wanavyotaka wao hawatakushukuru, zaidi zaidi watakuona mjinga. Sasa wee endelea kutaka kuwafurahisha waliopanga kukukasirikia kwa makusudi utaishia kuumizwa tu na bado watakulaumu baada ya kukuumiza