Wapende wanaokuja maishani mwako na heshimu maamuzi ya wanaoondoka kwenye maisha yako,kumbuka si kila mtu uliyeishinae kwa muda mrefu basi atakuwa na wewe daima,na sio kila uliyempenda ataishi na wewe milele. Jifunze kukubali kuachwa,kukataliwa na kuwa disappointed utapona haraka