Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata ukifanya kama wanavyotaka wao hawatakushukuru, zaidi zaidi watakuona mjinga. Sasa wee endelea kutaka kuwafurahisha waliopanga kukukasirikia kwa makusudi utaishia kuumizwa tu na bado watakulaumu baada ya kukuumiza
 
Ukiwa bado upo hai basi usikate tamaa, kwasababu jambo ambalo haliwezekani ni lile ambalo haujalifanya na ukiwa bado unapumua basi bado riziki yako ipo. Hivyo basi punguza presha na uongeze juhudi, weka mipango sawa na kisha kuwa na subira muda wako utafika na utafurahi
 
Kwenye haya maisha kuna namna inabidi ujitambue wewe ni nani, unahitaji nini na ukiwa wapi, hivyo basi
1. Jitambue sifa zako za kipekee ambazo mtu akitaja hizo sifa basi kakutaja wewe (strengths) na tambua madhaifu yako ili yasije kukugharimu
📌📌
 
Back
Top Bottom