myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sahihi kabisa10.Usiruhusu watu waliokudharau waendelee kutengeneza ukaribu na wewe
✔️✔️✔️2. Kukosa uvumilivu na kutaka kufanikisha kila kitu kwa wakati mmoja kama inavyofanya kazi simu yako nyingi kwa wakati mmoja
Aisee ni hatari sanaNDIO...
Ni kweli..ni kuachana nao.4.Usipende kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, kama hayakuhusu basi sio kazi yako achana nayo
Uko SawasawaKama hauwezi kujipenda, kujijali na kujithamini mwenyewe basi usitegemee kupata vitu hivyo kutoka kwa watu wengine kwasababu hisia, mawazo na tabia vina tabia ya kuvutana
Hata sijui 🤣Kwahyo humu shatti ni ku like?
📌📌📌Tupo kwenye Smartphone and gas cooking generation inetengeneza matatizo ya akili na magonjwa ya mwili mengi hasa
1.Kutaka kufanikiwa kwa haraka,kama vile unavyotaka kuivisha chakula kwa haraka kwa jiko la gas ndicho kinachokaa kwenye ubongo wako na kutaka ufanikiwe kwa haraka
MUHIMUU..5.Usisahau kujitoa out, kula unachokipenda na kuvaa unachokifurahia
Kweli haswa..6.Furaha huvuta mafanikio, huzuni na hasira huvuta matatizo,Chagua kufurahi hata kama upo katika nyakati ngumu ili usiumizwe na matatizo na pia usiumizwe na huzuni yako mwenyewe
Afya njema tuitunze...Hauwezi kujua umuhimu wa kitu ulichonacho mpaka kikuponyoke 1.Ukiwa na afya njema itunze kwasababu afya ikitetereka huyumbisha kila kitu kama vile uchumi, kazi,familia
Hili pia liko sawasawa....Ukipata rafiki mwenye upendo wa dhati na ambae yupo na wewe kwenye shida na raha mshikilie, watu wazuri huwa hawajagi mara nyingi kwenye maisha ya mtu mmoja