Kila mtu unayekutana naye ni sehemu ya safari ya maisha yako, lakini si wote wanaokusudiwa kubaki maishani mwako. Watu wengine ni kama wanapita tu kukuletea zawadi iwe nibaraka au funzo.

Safari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea

Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana!"

Ukiwauliza watu maisha ni nini utapata majibu mengi sana. Kila mtu ana tafsiri yake juu ya maisha. Kuna watakaokwambia maisha ni safari, wengine watasema maisha ni mapigano, wengine maisha ni mchezo na mengine mengi

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.