Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikuambie tu maisha ndiyo haya haya na furaha ya kweli haipo kwenye mali, usisubiri mpaka uwe tajiri ndiyo uwe na furaha, kila siku ukiamka salama shukuru Mungu ni neema tu na zawadi umeamka salama.

Kumbuka tulikuja watupu na hakuna tutakachoondoka nacho.
 
Maisha ni daftari lenye kurasa mbili ambazo tayari zimeandikwa na Mungu. Ukurasa wa kwanza ni KUZALIWA, na ukurasa wa mwisho ni KIFO. Kurasa za katikati zipo tupu kwa hiyo zijaze kwa TABASAMU na UPENDO.
 
Nidhamu katika maisha ya leo inaweza kubadili ubaya wote wa jana na kukupa kesho iliyobora na yenye kutamaniwa na wengi.

Hakuna maumivu yasiyokuwa na funzo na mafunzo hayo ndiyo humbadili mtu.
 
Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
 
Safari Yako Ya Mafanikio Itajawa Mitihani Mingi Sanaa, Utapita Katika Msitu Wenye Miiba Mikali, Jua Na Mvua Vyote Ni Vyako.Usiogope Na Kuona Kama Ndio Sababu Yako Ya Kushindwa Kuendelea Na Safari. Kadri Giza Linapozidi Basi Amin Kuwa Ndipo Kuna Karibia Kupambazuka "Usikate Tamaa"
 
Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.
 
Maisha ni mzunguko wa furaha na changamoto, yote ni ya muda. Furahia nyakati nzuri, vumilia changamoto, na kumbatia kila hatua. Maisha ni ya thanani na mafupi, yanapita haraka sana.
 
Maisha yana namna mbili za kukujaribu na kuonyesha wewe ni mtu wa namna gani.
1. Kukunyima kila kitu (nafasi/mafanikio)
2. Kukupa kila kitu (nafasi/mafanikio)
 
Mistake from Khusanov on his debut gifts Madueke a goal! Man City 0-1 Chelsea
1737828149803.gif
 
MAISHA ni Safari ipende na ufurahie safari yako mwenyewe bila kuilinganisha na ya mtu mwingine yeyote. Utakata tamaa na kuishia njiani safari ya kila mtu ni ya kipekee na tofauti.
 
Back
Top Bottom