Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa mtu wa majungu, dharau na kushushua watu, utakutana na hao hao watakaokupiga majungu, watakaokushushua na kukudharau. Ukiwa mtu wa kuheshimu utu wa watu na kustahi faragha zao, maisha yanakurudishia heshima na staha. Unapata kile kile unachowatendea wengine —na kuzidishiwa
 
Maisha ni safari, na kila siku ni fursa mpya. Usikate tamaa kwa changamoto za jana, bali jifunze kutoka kwao na endelea na nguvu mpya. Kila hatua ndogo inakupeleka mbele.

Fanya kila siku kuwa ya maana na uwe na imani katika mchakato wa maisha..
 
Maisha ni safari ndefu inayohitaji upendo, amani na uvumilivu, tusichoke kupambana ipo siku mambo yatakaa sawa tu.
 
1737826641700.gif
 
Mkumbushe mwanao kuwa maisha ni safari ya kipekee kwa kila mmoja, na kile kinachokuwa bora kwake, hakiwezi kuwa bora kwa mwingine. Kila mtu ana malengo, changamoto, na njia yake ya kufikia mafanikio
 
Maisha ni Mtazamo
Kuna Wakati unaweza kuona kwanini huendelei kumbe umefungwa Mtazamo wako kwa mambo yanayokufanya ubaki vile vile siku zote.
 
Ni bora kuanza safari mpya ambayo una uhakika na unapokwenda kuliko kufuata njia usiyojua unapokwenda
 
Maisha ni safari ya kila mmoja kwa wakati wake, usiruhusu presha ya watu ikutoe kwenye njia yako, maana kila mtu ana muda wake wa kung'aa na kufikia hatima yake
 
Tunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa. Katikati ya KUZALIWA na KUFA kuna kitu inaitwa MAISHA.
Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa
 
Kila kitu katika Maisha yako ni kielelezo cha uchaguzi uliofanya, ukitaka matokeo tofauti fanya chaguo tofauti na kila chaguo unalofanya kwa namna fulani huathiri matokeo ya maisha yako. Hakikisha unachokichagua kinakupa Furaha sio Majuto
 
Back
Top Bottom