Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Muda mwingine tunapitia changamoto si kwa sababu tumekosea, bali ili tujifunze na kuwa imara zaidi. Uvumilivu ni nguzo muhimu, na kushukuru ni ufunguo wa amani. Hata kwenye giza, mshukuru Mungu kwa mwanga unaokuja. Tuwe watu wa subira, matumaini, na shukrani!"
Sawa
 
Maisha ni safari ya kupanda na kushuka, na kupambana bila kuchoka ndiko kunaleta mafanikio.Changamoto ni sehemu ya maisha, lakn nguvu na uvumilivu wetu wa kuzkabili ndio hu2fanya kuwa imara zaidi. Uskate tamaa, kila hatua ya juhudi yako inkukaribisha krbu na ndoto zako."
✔️✔️
 
Katika safari za maisha ya watu, kwa wengine wewe ni kituo, wengine wewe ni stendi na wengine wewe ni kichaka cha 'kuchimbia dawa' njiani. Muhimu ni kujua nafasi yako na aina ya fursa unazoweza kufaidika nazo kwa nafasi yako.Jitahidi usiwe kichaka cha 'kuchimbia dawa. Jiongeze!
Sawasawa, najiongeza..
 
GOAL! SZOBOSZLAI OPENS THE SCORING FOR LIVERPOOL! Liverpool 1-0 Ipswich Town
1737825605705.gif
 
Maisha yana tabia ya kukurudishia kile kile unachotoa. Ukiwa mtu wa hasira utakutana na watakaokukasirisha. Ukiwa mtu wa amani, maisha yanakukutanisha na watakaokupa amani.
 
Maisha yana tabia ya kukurudishia kile kile unachotoa. Ukiwa mtu wa hasira utakutana na watakaokukasirisha. Ukiwa mtu wa amani, maisha yanakukutanisha na watakaokupa amani.
 
Ukiwa mtu wa majungu, dharau na kushushua watu, utakutana na hao hao watakaokupiga majungu, watakaokushushua na kukudharau. Ukiwa mtu wa kuheshimu utu wa watu na kustahi faragha zao, maisha yanakurudishia heshima na staha. Unapata kile kile unachowatendea wengine —na kuzidishiwa
 
Back
Top Bottom