Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiku ni nafasi ya kuota, kutafakari, na kupanga safari mpya za maisha. Lala vyema na uamke ukiwa na nguvu mpya
 
Kuna muda Mungu anakupitisha kwenye njia ngumu kukukumbusha kuwa yeye yupo,

Usikate tamaa maisha ni safari ndefu inayohitaji upendo, amani na uvumilivu
 
Katika safari ya maisha, usikatishwe tamaa kwa kuhesabu vituo vilivyobaki mbele yako, ukasahau kuhesabu mwendo ulioupunguza. Muhimu ni usahihi wa uelekeo wa safari yako kuliko kasi ya mwendo wa kumaliza vituo vinavyofuata. Safari ni hatua na IMANI.
 
Maisha Siri, kuwa msiri wa siri zako.

Maisha ni Safari, jiandae vizuri katika safari yako maana safari ina changamoto nyingi ndani yake.
 
Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Muda mwingine tunapitia changamoto si kwa sababu tumekosea, bali ili tujifunze na kuwa imara zaidi. Uvumilivu ni nguzo muhimu, na kushukuru ni ufunguo wa amani. Hata kwenye giza, mshukuru Mungu kwa mwanga unaokuja. Tuwe watu wa subira, matumaini, na shukrani!"
 
Katika safari za maisha ya watu, kwa wengine wewe ni kituo, wengine wewe ni stendi na wengine wewe ni kichaka cha 'kuchimbia dawa' njiani. Muhimu ni kujua nafasi yako na aina ya fursa unazoweza kufaidika nazo kwa nafasi yako.Jitahidi usiwe kichaka cha 'kuchimbia dawa. Jiongeze!
 
Katika Safari Ya Maisha kuna barabara lazima upite pekee yako, hakuna ndugu wala marafiki wa kuongozana nao Bali ni wewe na MUNGU
 
sio kila aliye mbele yako amekutangulia unapokwenda na sio kila anayekuja kwa kasi nyuma yako anakukimbiza... katika barabara ya maisha, njia ni moja lakini kila mtu ana safari yake... usije kuacha safari yako ukakimbizana na za wenzako, UTAPOTEA!!
 
Back
Top Bottom