Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku bora zaidi maishani mwako ni ile ambayo unamua kuwa maisha yako ni yako mwenyewe. Hakuna kuomba radhi wala visingizio. Hakuna wa kumtegemea, kumlaumu, au kumwekea mzigo. Zawadi ni yako, ni safari ya ajabu, na wewe pekee ndiye unayeajibika kwa ubora wake.
Aisee
 
"Katika safari kuna wanaosafiri, wanaosafirisha wasafiri, wasindikizaji na wapagazi. Ndivyo ilivyo katika safari ya maisha. Tambua nafasi yako na nafasi za watu wengine katika safari ya maisha yako.Tambua pia nafasi yako katika safari za maisha ya watu wengine." ~Togolani Mavura.
Muhimu
 
📌📌📌
 
Moja ya tabia inanyima watu furaha ni tabia ya kulinganisha maisha yao na ya wengine.

Tambua kila mtu ana safari yake maishani.

Jifunze kuthamini safari yako na kujikita katika kujiboresha wewe mwenyewe badala ya kujilinganisha na wengine.

Kuwa bora leo kuliko ulivyokuwa jana
Sahihi kabisa
 
Tukiweza kuishinda hofu ya kukikabili kivuli chetu kwa kuacha kuchukulia mrejesho hasi kama chuki, wivu na husda, na kutokuwa wepesi kuwageuzia kibao wale wanaoyaona matatizo yetu, hapo ndipo safari ya kujitambua inapoanza.
Aisee
 
Maisha ni safari yenye changamoto nyingi, lakini kila ugumu unaleta nafasi ya kukua. Hata unapokutana na vikwazo, kumbuka kuwa una nguvu ya kutoboa.

Hakuna giza linalodumu milele. Ingawa maisha yana changamoto, tunavyoendelea mbele tunapata mwanga. Tutaendelea kutoboa.
Uko Sawasawa
 
Back
Top Bottom