Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha Ni Safari Ndefu Sana Yeny Milima Na Mabonde Ila Uvumilivu,Na Subira Vinaweza Vikakupa Ufaulu Mzuri
 
Moja ya tabia inanyima watu furaha ni tabia ya kulinganisha maisha yao na ya wengine.

Tambua kila mtu ana safari yake maishani.

Jifunze kuthamini safari yako na kujikita katika kujiboresha wewe mwenyewe badala ya kujilinganisha na wengine.

Kuwa bora leo kuliko ulivyokuwa jana
 
"Katika safari kuna wanaosafiri, wanaosafirisha wasafiri, wasindikizaji na wapagazi. Ndivyo ilivyo katika safari ya maisha. Tambua nafasi yako na nafasi za watu wengine katika safari ya maisha yako.Tambua pia nafasi yako katika safari za maisha ya watu wengine." ~Togolani Mavura.
 
Maisha ni safari, na kila hatua inayo tufikisha mbele inahitaji uwekezaji wa kweli. Wekeza kwa upendo, kwa imani, na kwa matumaini ndipo utapata mavuno bora
 
Safari ya maisha ni mbio za masafa marefu na sio mafupi. Tunakumbana na milima na vilima, tunapanda na kushuka. Katu Usifurahie kuanguka kwa mwenzako, kwani wewe hujui litakalokufika siku moja.
 
Maisha ni mseto wa furaha,huzuni,wakati mgumu na wakati mzuri,kikikosekana kimoja Kati ya hivi hayo sio maisha
 
Siku bora zaidi maishani mwako ni ile ambayo unamua kuwa maisha yako ni yako mwenyewe. Hakuna kuomba radhi wala visingizio. Hakuna wa kumtegemea, kumlaumu, au kumwekea mzigo. Zawadi ni yako, ni safari ya ajabu, na wewe pekee ndiye unayeajibika kwa ubora wake.
 
Maisha ni safari yenye changamoto nyingi, lakini kila ugumu unaleta nafasi ya kukua. Hata unapokutana na vikwazo, kumbuka kuwa una nguvu ya kutoboa.

Hakuna giza linalodumu milele. Ingawa maisha yana changamoto, tunavyoendelea mbele tunapata mwanga. Tutaendelea kutoboa.
 
Back
Top Bottom