myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Tutende yalio mema kifo kipo na baada ya kifo kuna mzani utako pima mema yako na mabaya yako, tujitahidi sana matendo mema yawe mengi sana

✔️✔️✔️Kuwa na huruma na kusaidia wengine bila kutarajia malipo. Matendo mema huleta furaha na amani ya moyo.
✅️✅️Watu wanaweza kuharibu taswira yako, kuharibu utu wako, kuunda uvumi juu yako lakini hawawezi kukuondolea mema yako. Kwa sababu hata wakueleze vipi, utasifiwa na wanaokujua zaidi.
SawasawaIpambe dunia yako kama utaishi milele na ipambe akhera yako kwa matendo mema kama unakufa kesho.
UjumbeKama huwezi kuwa maji yanayosaidia mazao ya watu kuota, basi usiwe mdudu anayeharibu mazao yao.
Ujumbe muhimuKama huwezi kuwa mwanga wa kuangazia matendo mema ya watu, basi usiwe giza linalofunika juhudi zao.
Muhimu hiliWatu wanaweza kuharibu taswira yako, kuharibu utu wako, kuunda uvumi juu yako lakini hawawezi kukuondolea mema yako. Kwa sababu hata wakueleze vipi, utasifiwa na wanaokujua zaidi.
🙏🙏Maisha ni daftari ambalo halichaniki endapo utalitunza vizuri, inamaana kuwa matendo mema ya binadamu huwa hayafutiki hata atakapofariki mazuri yatazungumzwa tu, USIACHE KUWA MTU MWEMA
SawasawaKama huwezi kuwa mwanga wa kuangazia matendo mema ya watu, basi usiwe giza linalofunika juhudi zao.
SawasawaMaisha ni daftari ambalo halichaniki endapo utalitunza vizuri, inamaana kuwa matendo mema ya binadamu huwa hayafutiki hata atakapofariki mazuri yatazungumzwa tu, USIACHE KUWA MTU MWEMA
SawaKama huwezi kuwa daraja la kuwaunganisha watu, basi usiwe ukuta wa kuwatenganisha.
📌📌Tujitahidi Nia Yetu isiwe Kuishi Milele bali Kutenda Matendo Mema ambayo Yataishi Milele
📌📌📌Tujitahidi Nia Yetu isiwe Kuishi Milele bali Kutenda Matendo Mema ambayo Yataishi Milele
📌📌📌Matendo yako mema na moyo wako wa kujali ndio vitakufanya watu wakupende na kukuheshimu ila BIDII ndiyo itakayokufanya ufikie malengo yako katika lolote unalofanya. Yakumbuke sana haya mambo mawili mwanangu"
👍👍👍Matendo yako mema na moyo wako wa kujali ndio vitakufanya watu wakupende na kukuheshimu ila BIDII ndiyo itakayokufanya ufikie malengo yako katika lolote unalofanya. Yakumbuke sana haya mambo mawili mwanangu"