Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ya nuru huambatana na dhamira safi na matendo mema. Hii huleta amani ndani, huondoa wasiwasi, na kumfanya Mtu ajihisi mwepesi moyoni.
 
Kuwa na huruma na kusaidia wengine bila kutarajia malipo. Matendo mema huleta furaha na amani ya moyo.
 
Tutende yalio mema kifo kipo na baada ya kifo kuna mzani utako pima mema yako na mabaya yako, tujitahidi sana matendo mema yawe mengi sana
 
Katika maisha tenda mema kwa wengine bila kutegemea malipo. Matendo mema huleta furaha na utoshelevu wa ndani. Kujali wengine na kusaidia jamii yako ni njia nzuri ya kujenga uhusiano mzuri na kuleta maana kwenye maisha.
 
Kwenda mbinguni haitokani na matendo mema ya kutosha au kupitia njia nyingine yoyote ile. Bali Inahusu kukubali zawadi ya bure ya Mungu ya wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo.
 
Watu wanaweza kuharibu taswira yako, kuharibu utu wako, kuunda uvumi juu yako lakini hawawezi kukuondolea mema yako. Kwa sababu hata wakueleze vipi, utasifiwa na wanaokujua zaidi.
 
Maisha ni daftari ambalo halichaniki endapo utalitunza vizuri, inamaana kuwa matendo mema ya binadamu huwa hayafutiki hata atakapofariki mazuri yatazungumzwa tu, USIACHE KUWA MTU MWEMA
 
Back
Top Bottom