Watu wanaweza kuharibu sifa yako, kuharibu haiba yako na kueneza uvumi kukuhusu, lakini hawawezi kamwe kuchukua matendo yako mema.
Kwa sababu haijalishi wanavyokuelezea, daima utapendwa na wale wanaokujua vyema.

Maneno na Midomo inauma tunatakiwa kujisemea Mema kila siku.
1. MIMI ni Mshindi All the time.
2. Leo ni Siku Yangu ya Mafanikio.
3. Leo ni Siku ya Kupata Cha jana na Leo.
4. Mungu ni Wetu Sote.
5. Mungu Atupe Mafanikio.
6. Mungu atuepushe na Husda.
7. Mungu atupe Watu wema.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.