Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye ulimwengu wa MAHUSIANO, huwezi pata mwenza aliyejitosheleza.
Ukitafuta mwenye Pesa "
(power) utakuta hana muda. Ukipata mwenye Muda (care) utakuta hana Pesa.
Kibaya zaidi wote wana nafasi muhimu kwenye mahusiano, kazi kwako sasa, utachagua kuzika ama utasafirisha.