Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Matendo yako mema na moyo wako wa kujali ndio vitakufanya watu wakupende na kukuheshimu ila BIDII ndiyo itakayokufanya ufikie malengo yako katika lolote unalofanya. Yakumbuke sana haya mambo mawili mwanangu"