Watu wote umewahi kukutana nao kwenye maisha kuanzia utotoni, shuleni, chuoni, kazini, maishani, wote hao ni madaraja tuu kwenye safari yako, sio wote watabaki au wataendelea kuwa muhimu.
Safari ni yako peke yako.

Usikate tamaa, kila hatua unayochukua inakuelekea karibu na ndoto zako." Maisha ni safari, na ingawa kuna changamoto njiani, kila jaribu linatufundisha na kutufanya kuwa imara. Jitahidi kwa bidii, kuwa na imani, na tambua kwamba mafanikio yanahitaji muda na uvumilivu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.