Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha ni safari ya kuchagua kilicho sahihi kwako. Usilazimishe mahusiano, marafiki, mafanikio, msaada, au kueleweka na kila mtu. Thamini utu wako, jiamini, na endelea mbele bila kuomba ruhusa ya kuwa bora