Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye Maisha Changamoto Kubwa Ni Kwamba Wapo Watu Ambao Wataamua Kupambana Na Umasikini Walionao.

Lakini Vile Vile Wapo Watu Ambao Badala Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Kupambana Na Umasikini Huo Wao Wataamua Kupambana Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini.
 
Njia za kimafanikio zipo nyingi sana kitu Cha muhimu acha kujipa Umuhimu kwenye Maisha ya watu na badala yake ongeza bidii katika kuyafikia malengo yako
 
Katika maisha ya leo tujifunze jinsi kuishi na watu vizuri pia usiamini tu binadamu kuwa na mipaka yako usipende kuweka vitu vyako kwa umma au jamii inayokuzunguka hasa mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…