Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo.
Sawasawa
 
Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana!"
Aisee
 
Back
Top Bottom