Kuna muda unakufuru kwa kuhisi wewe una matatizo zaidi ya watu wengine na Mwenyezi MUNGU amekuacha, lakini ukiona wanayopitia wengine unabakia kushukuru tu.Tujifunze kushukuru
Matumaini ni Matamu, Matumaini Yanaangaza, Matumaini Yanatimia, Matumaini yanawezakuwa ya Milele, kwa hivyo usikate tamaa hata katika Machweo ya Maisha yako, Udhaifu wetu mkubwa upo katika kukata tamaa, Njia ya uhakika zaidi ya kufanikiwa ni kujaribu mara nyingi zaidi.

Kwenye maisha usiwasahau Hawa watu watatu1. Waliokuacha ulipopatwa na MAGUMU2. Waliokuwa na wewe kwenye MAGUMU 3. Waliokusababishia kuingia kwenye MAGUMU .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.