Ukweli wa maisha ni kwamba mafanikio hayapimwi kwa kasi ya mwendo wako, bali kwa uthabiti wako wa kusimama unapokumbana na dhoruba, na ujasiri wa kuendelea hata njia inapokuwa ngumu

Usifanye kilicho Nje ya Uwezo Wako ili Upendwe, Jitahidi Usiwe Mwema Sana Kwao,
Hata chumvi Ni Muhimu Kwenye Mboga ila
Ikizidi Sana ltaharibu Ladha ya Mboga

kila hali katika maisha ni ya muda, hivyo maisha yanapokuwa mazuri hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na wakati maisha sio mazuri, kumbuka kuwa hayatadumu milele na siku bora ziko njiani

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.