myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Usiku huja na utulivu wake, lakini ndani yake hubeba ndoto kubwa na nguvu za kesho
✔️✔️Usiku huja na utulivu wake, lakini ndani yake hubeba ndoto kubwa na nguvu za kesho
AiseeAndika Vitu Vyote Vizuri Utakavyovipata Ukishalimaliza Jambo Hilo, Vipitie Kila Mara Unapotaka Kufanya Jambo Hilo.
Ujumbe huoElewa Kwamba, Vikwazo Na Changamoto Ni Muhimu Wakati Mwingine! Kikubwa Ni Kujipa Moyo, Kuboresha Mipango Yako Kulingana Na Muda Na Mabadiliko Ya Dunia, Na La Muhimu Zaidi Ni Kujifunza Kutokana Na Vikwazo Na Changamoto Ulizozipata!
✅️✅️Utajikuta unajiona wa thamani kumbuka tulipokuwa wadogo, wazazi wetu walitukumbatia na tukajiona tunapendwa na tuko mahali salama, upendo ule tulioonyeshwa na wazazi wetu, unakuwepo ndani yetu kadri tunavyokuwa watu wazima, na unapomkumbatia mtu inakufanya uhisi kupendwa na wathamani.
SawasawaHuondoa uoga na wasiwasi.
✔️✔️Huboresha mahusiano ya watu wanaopendana kwani unapomkumbatia mtu unaonyesha hali ya kupenda, usalama, na mapenzi ya dhati.
NakubalianaElewa Kwamba, Vikwazo Na Changamoto Ni Muhimu Wakati Mwingine! Kikubwa Ni Kujipa Moyo, Kuboresha Mipango Yako Kulingana Na Muda Na Mabadiliko Ya Dunia, Na La Muhimu Zaidi Ni Kujifunza Kutokana Na Vikwazo Na Changamoto Ulizozipata!
InawezekanaHug hufanya misuli isinyae hivyo kusaidia kuondoa/kupunguza baadhi ya maumivu ya mwili na kuufanya uwe huru.
SawaUnapomkumbatia mtu, unaupa mwili hali ya kujihisi salama na huru pia.
SawaTafakari Ni Kipi Unakiweza Zaidi? Kitilie Mkazo Na Usijali Unakosea Kiasi Gani Bali Fikiria Umepiga Hatua Gani!
✅️✅️✅️Unapomkumbatia mtu, unaupa mwili hali ya kujihisi salama na huru pia.
SawaKuwa Na Muda Wa Kupumzika
NakubalianaPunguza Vitu Kichwani Hasa Vile Usivyovihitaji Zaidi. Pia Punguza Idadi Ya Marafiki Wasiokuwa Na Msaada Kwako Ambao Wengi Wao Hawatakupa Msaada Wowote Zaidi Ya Kuangalia Unakosea Wapi.
NakubalianaPunguza Vitu Kichwani Hasa Vile Usivyovihitaji Zaidi. Pia Punguza Idadi Ya Marafiki Wasiokuwa Na Msaada Kwako Ambao Wengi Wao Hawatakupa Msaada Wowote Zaidi Ya Kuangalia Unakosea Wapi.
SawaHuleta usawa kwenye Mfumo wa fahamu kwani wengi wetu tunaishi katika mazingira yanayoufanya mwili kuwa katika hali ya kujihami muda wote hivyo unapomkumbatia mtu, mwili husinyaa na kurudi katika hali yake ya kawaida.
Mh!!...Usikurupuke kuchora tattoo, kuwa na wazo la aina ya tattoo ya kitu unachokihitaji sio tu kwa kuwa uliiona kwa mtu Fulani.
SawaHuwezi kuchangia damu katika baadhi ya mataifa. Ni vema kujua sheria za nchi yako kwanza kabla ya kufanya uamuzi huo.
SawaHuwezi kuchangia damu katika baadhi ya mataifa. Ni vema kujua sheria za nchi yako kwanza kabla ya kufanya uamuzi huo.
📌📌📌Huleta usawa kwenye Mfumo wa fahamu kwani wengi wetu tunaishi katika mazingira yanayoufanya mwili kuwa katika hali ya kujihami muda wote hivyo unapomkumbatia mtu, mwili husinyaa na kurudi katika hali yake ya kawaida.