Punguza Vitu Kichwani Hasa Vile Usivyovihitaji Zaidi. Pia Punguza Idadi Ya Marafiki Wasiokuwa Na Msaada Kwako Ambao Wengi Wao Hawatakupa Msaada Wowote Zaidi Ya Kuangalia Unakosea Wapi.
Utajikuta unajiona wa thamani kumbuka tulipokuwa wadogo, wazazi wetu walitukumbatia na tukajiona tunapendwa na tuko mahali salama, upendo ule tulioonyeshwa na wazazi wetu, unakuwepo ndani yetu kadri tunavyokuwa watu wazima, na unapomkumbatia mtu inakufanya uhisi kupendwa na wathamani.

Huleta usawa kwenye Mfumo wa fahamu kwani wengi wetu tunaishi katika mazingira yanayoufanya mwili kuwa katika hali ya kujihami muda wote hivyo unapomkumbatia mtu, mwili husinyaa na kurudi katika hali yake ya kawaida.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.