myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Usiige maisha ya mtu ili kumfurahisha mtu ishi kwa kipimo ulichobarikiwa
👍👍Usiige maisha ya mtu ili kumfurahisha mtu ishi kwa kipimo ulichobarikiwa
SawasawaKwenye maisha usiwasahau Hawa watu watatu1. Waliokuacha ulipopatwa na MAGUMU2. Waliokuwa na wewe kwenye MAGUMU 3. Waliokusababishia kuingia kwenye MAGUMU .
SawasawaMungu atabaki kuwa Mungu hata kama hajibu maombi yako utakavyo
Mwalimu Mwakasege
SawaKwenye maisha usiwasahau Hawa watu watatu
1. Waliokuacha ulipopatwa na MAGUMU
2. Waliokuwa na wewe kwenye MAGUMU
3. Waliokusababishia kuingia kwenye MAGUMU .
📌📌Katika shida yangu nalimwita Bwana, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.Zaburi 18:6
👍👍Neema za MUNGU zikianza kumwagika hazichagui mkosaji na mwenye hakii wote mnapata kama mvua vile
SawasawaTia bidii kwenye utafutaji ila hakikisha unaongeza nidhamu kwa walio kutangulia
✅️✅️Hakikisha unaenda kanisani kupunguza dhambi zako za wiki nzima
👍👍👍Katika shida yangu nalimwita Bwana, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.Zaburi 18:6
📌📌Mithali 14:12 - Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
✔️✔️✔️Usidharau hatua ndogo maana kila hatua unayopiga inaelekea kukufikisha unapotaka kufika.
✅️✅️✅️Unasifiwa Na Wenzako Kwa Kutembea Na Watoto Wakali Tena Warembo..Lakin ipo Siku Utasifiwa Na Doctor Kwa Kumaliza Kijiko Cha Uji.
Mh!! Inatisha.Unasifiwa Na Wenzako Kwa Kutembea Na Watoto Wakali Tena Warembo..Lakin ipo Siku Utasifiwa Na Doctor Kwa Kumaliza Kijiko Cha Uji.
Kweli kabisa hiliKatika safari ya maisha huwezi kuwa mkamilifu kwa kila jambo balance shobo na upunguze wema ulio pitiliza binadamu hawaeleweki.
👍👍Makosa yako ya jana Yasitafsiri kesho yako
👍👍Wengi tumekuwa tunawapa nafasi wengine kwanza na kuamua kujiweka sisi wa mwisho. Matokeo yake, unajinyima muda wa kupumzika, kula, kustarehe nk! Matokeo yake huwi na furaha na maisha yako!
👍👍Kujiweka wa mwisho na Kujinyima muda wa kufurahi /kustarehe
Maisha yako yamejengwa kwa vipande vidogo vidogo ambavyo kila kimoja kina nafasi yake, na kikikosekana, basi vingine havitakaa kwenye nafasi zake na kuharibu maisha yote.
SahihiFanya utafiti wa kutosha juu ya biashara unayotaka kuazisha sio tu kwa kuwa kuna mtu unayemjua amefanikiwa kutokana na biashara hiyo. Pia hakikisha unajua ni nini utakifanya endapo biashara hiyo itaanguka ghafla
Muhimu sanaFanya utafiti sokoni kujua watu wanazichulia vipi bidhaa au huduma unayotaka kutoa ili kuweza kujua wapi unakosea na kujirekebisha mapema iwezekanavyo ili kuendelea kutengeneza mahusiano mazuri na watu.