myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu.
✅️✅️✅️Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu.
✔️✔️Ukiona umeshindwa kushindana nae, usimfanye adui yako, tengeneza urafiki ili ujifunze kutoka kwake
✔️✔️Sali fanya kazi toa zaka afu kuwa na subira utafanikiwa
✅️✅️✅️Kupitia magumu, tunajifunza. Kupitia maumivu, tunakua. Tusiache kupigania maisha bora.
✔️✔️✔️Ukishajifunza kushukuru kwa lolote, ndio muda ambao baraka zako huongezeka maradufu.
✅️✅️✅️Katika utafutaji wetu tunatafuta tunacho kitaka ila tunapata tunacho stahili .
✔️✔️✔️Ingekuwa kujuana ndio kusaidiana basi maji yasingeshiriki mapishi ya samaki
✔️✔️✔️Ndugu Kumbuka "Uaminifu ni Gharama Sana Sio Kila Mtu Anaweza Akawa Nao." Ukiaminiwa Aminika .
SawaDunia ya leo upendo huleta tabasamu kwa wanaopendwa na sio wanaopenda.
✔️✔️✔️Jifunze kuweka mipaka kwenye eneo lako la kazi kabla ya kuwekewa mipaka.
📌📌Unaona kabisa huwezi kuwa nao katika meza moja, usilazimishe.
Tengeneza meza yako ambayo utajinafasi kwa amani bila usumbufu wowote
✅️✅️✅️Unaona kabisa huwezi kuwa nao katika meza moja, usilazimishe.
Tengeneza meza yako ambayo utajinafasi kwa amani bila usumbufu wowote
Nakubaliana na hiliFungua moyo wako, weka bidii yako, na uamini kuwa siku yako itakuwa bora zaidi...
AiseeHakikisha Mapenzi Yasizidi Ndoto Zako,Watu Wana Watu Wao
✅️✅️✅️Matumaini ni Matamu, Matumaini Yanaangaza, Matumaini Yanatimia, Matumaini yanawezakuwa ya Milele, kwa hivyo usikate tamaa hata katika Machweo ya Maisha yako, Udhaifu wetu mkubwa upo katika kukata tamaa, Njia ya uhakika zaidi ya kufanikiwa ni kujaribu mara nyingi zaidi.
SawasawaGiza la usiku halimaanishi mwisho wa safari, bali ni hatua ya kukusanya nguvu kwa ajili ya mwangaza wa kesho
Sahihi hiliKulinda heshima yako ni pamoja na kufanya maamuz unapovunjiwa heshima
Ujumbe muhimuMafanikio hayaji kwa bahati, yanahitaji nidhamu, juhudi, ibada na uthubutu wa kukabiliana na changamoto
SawaGiza la usiku halimaanishi mwisho wa safari, bali ni hatua ya kukusanya nguvu kwa ajili ya mwangaza wa kesho