myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUnapokuwa unafanya mpango mkakati wa fedha jitahidi matumizi yako uyawekee makadirio ya juu na kipato chako ukiwekee makadirio ya chini.
SawaUnapokuwa unafanya mpango mkakati wa fedha jitahidi matumizi yako uyawekee makadirio ya juu na kipato chako ukiwekee makadirio ya chini.
📌📌📌Mafanikio huanza kwa kiasi kidogo cha fedha, usiache kuthubutu kwa kuwa tu, hauna mamilioni ya pesa ya kuanzia kama mtaji. Siku zote hakikisha una fedha za dharula na kamwe usitumie fedha ya mtaji kwa matumizi mengine
✅️✅️✅️Kukimbia matatizo na kuogopa kushindwaJe wajua? Ukikimbia matatizo yako, siku zote yatakimbia pamoja nawe. Usikimbie tatizo, likabili na kuamka haraka kila tunapoanguka. Na epuka Kuhisi kuna mtu mwingine anahusika na furaha yako.
👍👍Kuona huhitaji chochote cha kusoma
Maisha yanachekesha! Kitu kinaweza kuwepo leo, na kesho kisikuwepo. Kama kuna kitu unataka kufanya, fanya sasahivi
Ujumbe wa maanaKuharibu Maisha ya Mwingine ili Ufanikiwe
Ukiharibu maisha ya mwingine, unaharibu ya kwako! Unaweza kuita Karma, Gundu, au majina mengine, lakini jua ya kwamba hii hutokea kweli. Pia ni ngumu kukaa na hayo mafanikio Maana hutakuwa na plani ya pili ya mafanikio zaidi ya kudhurumu, kuiba, kuua nk!
✔️✔️Kuamini kila kinachosemwa na “Wataalamu”Siku hizi kila sekta kuna watu wanaojiita wataalamu (mimi mmoja wapo!) Lakini nasikitika kukuambia kuwa, wengi wa wataalamu hawa, hawako sahihi kwani siku hizi watu wanapata kipato kutokana na kuyaelewa matatizo ya watu na si kujua suluhisho.
Ujumbe muhimu sana huuKuamini Wewe ni Mifupa na nyama tu!Hili ni kosa kubwa sana maishani, wengi huamini binadamu n mifupa na nyama tu, hivyo hakuna hata ya kufanya kazi kwa bidii kwa kuwa tu “eti” Mwisho wa siku tutakufa na kuzikwa! Je, Unawaachia nini wanao na kizazi chako? Je kwa nini hasa Mungu alitupa utashi tofauti na Mbuzi na wanyama wengine?
✅️✅️Kuamini kila kinachosemwa na “Wataalamu”Siku hizi kila sekta kuna watu wanaojiita wataalamu (mimi mmoja wapo!) Lakini nasikitika kukuambia kuwa, wengi wa wataalamu hawa, hawako sahihi kwani siku hizi watu wanapata kipato kutokana na kuyaelewa matatizo ya watu na si kujua suluhisho.