Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hushusha shinikizo la damu mwilini, Mgusano wa mwili husababisha neva za kwenye ngozi zinazoitwa “Pacinian corpuscles” kupeleka habari kwenye sehemu ya ubongo (vagus nerve) inayohusika kushusha shinikizo la damu.