Kila mtu anaweza akawa rafiki mwema mbele ya uso wako,Lakini inahitaji urafiki wa kweli na uaminifu wa kutosha mtu huyo huyo kuwa mwema tena nyuma ya mgongo kwako..

Weka mipaka ya urafiki wenu ili uishi kwenye maisha yenu ukiwa huru, ukiwa si mtumwa wake, ukiwa unajiamini ukisimama mbele yake, unajitawala na siyo kutawaliwa na matukio yako anayoyajua. Kuwa rafiki mwema na siyo mtumwa wake. Kitakachokupa kujiamini ni mipaka ya urafiki wenu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.