Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ubinadamu kazi sana, Mtu anayekufahamu hataki ufanikiwe anahitaji asiye mfahamu ndio afanikiwe, Ila akipata shida Anaamini anaye mfahamu ndio anaweza Kumsaidia na sio yule Asiye mfahamu.
 
Kamwe usikubali kuwa kwenye mahusiano unayohisi kama mapambano ya mara kwa mara. Unastahili mtu ambaye atakuwa mshirika wako, msaidizi wako. Kumbuka, mwenza wako anapaswa kuwa eneo lako salama, siyo chanzo kingine cha maumivu au msongo katika maisha yako. Unastahili bora zaidi.
 
Maisha Ya Leo Ili Uonekane Una Upendo Kwa Ndugu Au Kwa Watu Wengine Basi Jitahidi Uwe Unatoa Hata Kile Kidogo Ulichonacho Hapo Utaonekana Una Upendo Kwao.

Umasikini Ni Mbaya, Ukiwa Masikini Hata Kama Una Upendo, Basi Upendo Wako Hautaonekana Kama Ukiwa Huna Kitu Cha Kutoa.
 
Back
Top Bottom