Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika maisha hakuna rafiki mzuri na wakweli kama muda, Mtu akikupenda mpe muda, akikuchukia mpe muda. Mtu akiona wewe hufai na hauna maana mpe muda, mtu akikuacha katika magumu mpe muda Hata yule asiyekupa muda mpe muda. Muda ndiye jawabu la mambo mengi sana
 
Urafiki wa kweli haupimwi kwa furaha pekee, bali kwa uwezo wa kuhisi maumivu ya mwenzako na kusimama nae wakati wa changamoto. Huo ndio urafiki unaogusa moyo na kuacha alama ya kudumu maishani
 
Urafiki ni kitu cha thamani kubwa sana. Ukiwa na marafiki wa kweli unakuwa na manufaa mengi ikiwemo ushauri wa kimaendeleo ili kuendana nao. Unapokuwa na shida au raha marafiki ni watu wa kwanza kuwa na wewe. Hata hivyo ili kudumisha urafiki kunahitaji uvumilivu na gharama pia.
 
Screenshot_20250128-204804_Breaking News.png
f
 
Back
Top Bottom