myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliKundi dogo la marafiki wa kweli, maisha ya faragha, na akili iliyotulia huleta furaha kubwa sana maishani.
KweliKundi dogo la marafiki wa kweli, maisha ya faragha, na akili iliyotulia huleta furaha kubwa sana maishani.
✅️✅️✅️Mafanikio ni bahati. Kadri unavyojituma kwenye ubunifu, kutafuta maarifa, uthubutu na uvumilivu ndio bahati yako inaongezeka.” - Ruge Mutahaba
✅️✅️✅️UAMINIFU,ni Kati ya Vitu vinavyodumisha amani,upendo,urafiki,kazi na undugu ,mahusiano na Ujirani Mwema ,jitahidi kujenga Uaminifu popote ulipo.
SawasawaKila mtu anaweza akawa rafiki mwema mbele ya uso wako,Lakini inahitaji urafiki wa kweli na uaminifu wa kutosha mtu huyo huyo kuwa mwema tena nyuma ya mgongo kwako..
NajifunzaJifunze kua na urafiki mwema na majirani zako ..Hao ndo watakao kusaidia siku ukipata matatizo na sio ndugu zako wa mkoani
Najifunza hiliJifunze kua na urafiki mwema na majirani zako ..Hao ndo watakao kusaidia siku ukipata matatizo na sio ndugu zako wa mkoani
KweliKila mtu anaweza akawa rafiki mwema mbele ya uso wako,Lakini inahitaji urafiki wa kweli na uaminifu wa kutosha mtu huyo huyo kuwa mwema tena nyuma ya mgongo kwako..
AiseeJenga urafiki na wema na utakuwa mwema kama unavyotamani
NakubalianaJenga urafiki na watu wachache, kuwa mwema kwa kila mtu.
✅️✅️✅️Umaarufu ni madawa, ukiushiriki anavyotaka utaishia kufanyia kazi muonekano na maneno ya walimwengu. KUWA MAKINI.
Sawa kabisaMarafiki wa kweli ni wale watu ambao hufanya matatizo yako kuwa matatizo yao pia, ili usiteseke peke yako.
✔️✔️Rafiki wa kweli ni yule mtu anayefahamu uliyopitia na unayopitia sasa na bado anaamini utafanikiwa hapo baadae
✔️✔️Ukiona Umeshindwa Kushindana Nae, Usimfanye Adui Yako, Tengeneza Urafiki ili Ujifunze Kutoka Kwake
Ujumbe muhimu huuSio kila anayekuchekea au aliye karibu nawe anatamani kukuona ukiwa na furaha au unapata maendeleo
Na si kila unayempa msaada atakurudishia wakati unahitaji ndo anapata nafasi ya kukukandamiza
Rafiki wa kweli hujitokeza pale wengine wanapokimbia
Kweli kabisa hiliRafiki wa kweli ni yule mtu anayefahamu uliyopitia na unayopitia sasa na bado anaamini utafanikiwa hapo baadae.
✔️✔️✔️Si kila anayekutupa kwenye matatizo ni adui yako, wala si kila anayekutoa kwenye matatizo ni rafiki yako. Kuwa makini na nia zao, si matendo yao tu.