Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tujenge urafiki mwema kama wa Limao na Tangawizi ili tuweze kusaidiana na kutibiana pale inapobidi.Na tuache vinyongo vya kila mara ambavyo havina sababu.Vinyongo ni ugonjwa.Kumbuka ya kuwa njia ni nyembamba sana
 
Siku za nyuma kidogo, ukimkopa mtu kitu au pesa ilikuwa heshima kubwa na pia njia ya kuongeza au kudumisha urafiki na ujirani mwema,..Ila siku hizi ukimkopa mtu , jua tiyari umeshaingia uhasama hasa wakati unafatilia madai yako, uspokuwa makini hata uhai unaweza poteza.
 
Siku za nyuma kidogo, ukimkopa mtu kitu au pesa ilikuwa heshima kubwa na pia njia ya kuongeza au kudumisha urafiki na ujirani mwema,..Ila siku hizi ukimkopa mtu , jua tiyari umeshaingia uhasama hasa wakati unafatilia madai yako, usipokuwa makini hata uhai unaweza poteza.
 
Hadithi ambayo ni nzurii, inayokaa milele moyoni mwetu, ni hadithi ya urafiki mwema wa kupenda, kukemeana, kupendana, hofu ya MUNGU kwa kupeana furaha na ni bahati kuwa na yeye kama rafiki yako maishani mwenu
 
Weka mipaka ya urafiki wenu ili uishi kwenye maisha yenu ukiwa huru, ukiwa si mtumwa wake, ukiwa unajiamini ukisimama mbele yake, unajitawala na siyo kutawaliwa na matukio yako anayoyajua. Kuwa rafiki mwema na siyo mtumwa wake. Kitakachokupa kujiamini ni mipaka ya urafiki wenu
Sawa hili
 
✅️✅️✅️
 
Back
Top Bottom