Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mtu anaweza akawa rafiki mwema mbele ya uso wako,Lakini inahitaji urafiki wa kweli na uaminifu wa kutosha mtu huyo huyo kuwa mwema tena nyuma ya mgongo kwako..
 
Weka mipaka ya urafiki wenu ili uishi kwenye maisha yenu ukiwa huru, ukiwa si mtumwa wake, ukiwa unajiamini ukisimama mbele yake, unajitawala na siyo kutawaliwa na matukio yako anayoyajua. Kuwa rafiki mwema na siyo mtumwa wake. Kitakachokupa kujiamini ni mipaka ya urafiki wenu
 
Sio kila anayekuchekea au aliye karibu nawe anatamani kukuona ukiwa na furaha au unapata maendeleo

Na si kila unayempa msaada atakurudishia wakati unahitaji ndo anapata nafasi ya kukukandamiza

Rafiki wa kweli hujitokeza pale wengine wanapokimbia
 
Si kila anayekutupa kwenye matatizo ni adui yako, wala si kila anayekutoa kwenye matatizo ni rafiki yako. Kuwa makini na nia zao, si matendo yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…