myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Hakuna kitu kinaumiza kama wazazi wetu, kutuona hatujafanikiwa na sisi ndio matumaini yao Dahhh
UjumbeUsiwalaumu watu kwa kukukatisha tamaa, Bali jilaumu wewe kwa kutarajia Mengi kutoka kwao
Sawasawa kabisaUsiache kumuomba MUNGU huenda Machozi yako yajayo yakawa Machozi ya Furaha
Kweli hiliKatika Maisha Yako Unapotoa msaada, toa kwa moyo,Usifanye ili watu wajue umewasaidia watu.
Ni sahihiWakati mwengine Familia tulizotoka Na Watu Wanaotutegemea Ndo Wanatufanya Tusikate tamaa Hata Iwe Ngumu kiasi gani
Inawezekana hiliKuna baadhi ya watu Mungu anawazuia wasikusaidie Ili wasije kukusumbua mbele ya safari
🤲🙏Eeh MUNGU Japo Hauonekani Lakini Baadhi Yetu Tuna wewe Tu. Tunaomba Usituangushe
🤲🤲🙏Eeh MUNGU Japo Hauonekani Lakini Baadhi Yetu Tuna wewe Tu. Tunaomba Usituangushe
Kweli kabisaKatika Maisha Yako Usikate tamaa ya Kuomba kwasababu MUNGU huwa Anasikiliza Daima
Nakubaliana na hiliUkipata mwanamke ambae Maumivu Yako ni Maumivu yake Pia. Basi Tambua kuwa Umepata Mama bora wa Familia Yako
Kweli kabisaUsiache kutabasamu kila Siku kwasababu Mungu wako ni Mkubwa kuliko Matatizo yako
Sawa kabisaNguvu ya Mtu Haipimwi kwa alichopitia, Bali kwa namna alivyoamua kusimama tena baada ya kuanguka
✔️✔️✔️Ukitangulia Kufanikiwa Basi Usituone tuliochelewa ni wazembe ni vile na sisi Muda wetu Haujafika ila tunaamini katika MUNGU ipo Siku yetu
📌📌Hekima na BUSARA ni Nguzo Muhimu sana Katika MAISHA, Muombe sana Mungu akuepushe na Majivuno
✔️✔️Hekima na BUSARA ni Nguzo Muhimu sana Katika MAISHA, Muombe sana Mungu akuepushe na Majivuno
KweliTupendane tu Maana mwisho wa kila tunacho kiangaikia Hapa Duniani ni Mauti.
SahihiJuhudi, Uvumilivu na Bidii vinaweza kubadili Ndoto kuwa kweli
Hili muhimuTambua kuwa Moyo ukichoka hautoi tena Machozi,Unatoa Maamuzi Jifunze sana kutoa maamuzi katika Maisha yako
AiseeUsimpende Mtu Kwa Sababu Watu Fulani Watakusifia, Mpende Mtu Kwa Sababu Anajali, Anathamini Na Kuheshimu Uwepo Wako