myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππHuwezi kufanikisha Ndoto zako bila kuweka Bidii,Nidhamu na Kuwa na Imani katika kile Unachokifanya
Sawa piaUsiige maisha ya mtu ili kumfurahisha mtu ishi kwa kipimo ulichobarikiwa.Sjui Unanielewa
SawaKuna Baadhi ya vitu Sio kwamba Haviwezekani, Ni kwamba Tu hukuandikiwa kuvipata
SawasawaKilakitu katika maisha utokea kwa sababu na sababu zake huwa sahihi kwajili ya jambo flani,Acha kujilaumu kwa lolote lile
ππHakuna kitu kinaumiza kama unapambana sana, alafu huoni mabadiliko yoyote katika maisha yako
ππHatuna uwakika Kama Tutapata tena Leo, Lakini Tuna Imani na Anaetoa
SawaTujifunze kuwashukuru sana wale watu Wanaotusaidia Bila kututangaza kwa watu wao wa Karibu.
ππUaminifu ni Gharama sana sio kila mtu anaweza akawa Nao Jifunze kuaminika kwa watu kuna mahali utafika
SawaSio kila mtu atathamini kujitoa kwako na ataheshimu kujinyima kwako, kuna wengine Hawana shukrani
βοΈβοΈβοΈKuna watu wengi sana wanapitia MAGUMU na MAZITO ila hawawezi kukuambia au kuyaweka wazi
SawaWewe ni binadamu, sio Mungu. Hautaweza kufanya kila kitu kwa kila mtu na kwa kila wakati
πππWewe ni binadamu, sio Mungu. Hautaweza kufanya kila kitu kwa kila mtu na kwa kila wakati
πππHatumlalamikii Mtu wala hatumlaumu yoyote lakini huwa tunamuomba Mungu sana atuepushe na Aibu ndogo ndogo
βοΈβοΈTambua kua Dunia haina huruma, unaweza kuwa na moyo Mwema na watu wakautumia vibaya
β οΈβ οΈKusamehe haimaanishi lazima uwarudishe wawe Karibu Tena, wengine wapende wakiwa mbali
ππTambua kua Dunia haina huruma, unaweza kuwa na moyo Mwema na watu wakautumia vibaya
Hili sawaWatu Huanza Kukuchukia Pale Wanaposhindwa Kukutawala Jinsi Wanavyotaka au Kufikia Viwango Vyako
Hali ni ngumuMaisha ya Sasa Mtu Akikusaidia kifedha Shukuru,Na Asipokusaidia pia Usilaumu Maana Hali Ni Ngumu mno
Kuna ukweli haswaMaisha ya Sasa Mtu Akikusaidia kifedha Shukuru,Na Asipokusaidia pia Usilaumu Maana Hali Ni Ngumu mno
SawaKaa Mbali Na Watu Wanaobadilika Tabia Baada Ya Kukosa Wanachokitaka Kutoka Kwako